Thursday, June 28, 2012

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BAGAMOYO

Mtaani Bagamoyo
Gorofa ni Gorofa haijalishi limejengwa kwa Style Ipi
TANU ilianza mwaka 54....hiyo TANU hiyo hiyo hiyo......naimba ule wimbo wa TANU mwaukumbuka??????
Jamni wale wanaotundikaga viatu kwenye nyaya za umeme sijui huwa wanawaza nini...kwanini wanaviweka huko juuu
Palm Tree Village
Vitu vya asili kwa wingii
Wateja wengi ndo mahala pao....zawadi nzuri zinapatikana humu
Pretty Cleopatra na Uncle Faraji...Mama Cleo hakuwa mbali
Nikijitwalia kinifaacho
Nikiwa na Mzee Alalaye akinipa mawili matatu kuhusu utengenezaji wa Mtumbwi
Anasema huu ukikamilika anauuza kuanzia Laki 3 na Nusu hadi Laki 4...ni mti wa Mkorosho huo

No comments: