Monday, June 4, 2012

MISS UNIVERSE TANZANIA CALL FOR ENTRIES 2012

Mashindano ya Miss Universe Tanzania yaliyomtoa mrembo Flaviana na wengine wengi yamerudi tena kwa mwaka mwingine.Miss Universe Tanzania 2012 form ziko tayari na safari hii Mikoa kama vile Dodoma,Mwanza,Dar es salaam,Bukoba,Mtwara,Manyara,Arusha na Kilimanjaro itafanya usahili wa shindano hilo lenye nafasi ya pili kwa ubora Duniani na lenye umaarufu kuliko shindano lolote lile duniani.

2007 alikuwa Flaviana Matata,

2008 Amanda Ole sululu

2009 Illuminata James Wize

2010 Hellen Dausen

2011 Nelly Kamwelu

2012 ??????

Form ziko tayari kwa mikoa yote ilotajwa hapo juu,this week jumatano tarehe 6 Miss Universe scouting team itakuwa Mtwara......
Alhamis/Ijumaa  ya wiki hii tarehe 7 june Miss Universe scouting team itakuwa mkoani Dodoma.....Kwa mawasiliano zaidi piga number 0714441165 AU 0713302075

No comments: