Hii ni hatari kwakweli
Wakina mama wakiwa busy na biashara
Pata Mafenesi kwa bei poa
Pata mboga za majani kwa afya
Urembo huo jamani
Chalii yangu nipige picha vizuri aisee, ununue na carrot
Ndani ya soko kuu la Arusha
Biashara ndogo ndogo zikiendelea kama huyu dogo na karanga
Karibu vitunguu dada
Mama na watoto, bila kusahau kuni za kupikia
Sasa ni masika, kilimo kwanza
No comments:
Post a Comment