Tuesday, April 24, 2012

KUTOKA KENYA - Mambo ya kununua vitu

Watu wakiburgain bidhaa mji mdogo wa Ruaka hapa Kenya. Hii ndio raha ya Africa na mfumo usio rasmi wa kibiashara. Unaongea ukieleweka unatwaa mali




Asante sana Mdau kutoka Kenya kututumia picha hizi

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Bonge la picha ...Ahsante