![]() |
| Vijana wakibeba mchanga kutoka mtoni kupeleka juu yanapopaki magari ya kubeba |
![]() |
| Vijana wapo busy si kidogo |
![]() |
| Ona wanavyochota mchanga kwenye mto huo wanawauzia watu wa ma Lory |
![]() |
| Hawajali kama ni uharibifu wa mazingira |
![]() |
| Huo ni mto Mbezi, umejaa mchanga na watu ndo wamefanya ni sehemu ya kujichotea mchanga bila hofu |
![]() |
| Mbali na kuharibu mazingira ya mto huo, kuna malipo yoyote yanafanyika serikalini au? |
![]() |
| Au kuna vibali wanavyo bila sisi kujua? |
![]() |
| Mimi nilipowauliza waliniambia kuwa wanaongea na wenye maeneo ili waweze kupata kwa kupark ma Fuso yao wapakie mchanga, na kuna hela kidogo wanawapa |
![]() |
| Tuna mpango gani na mazingira haya? |
![]() |
| Michanga toka mtoni imerundikwa tayari kupakiwa garini |
![]() |
| Lory moja la Gari la mchanga wanauza shilingi 40,000/- |
Biashara ndogo ndogo zikiendelea kando kando ya Mto Mbezi












No comments:
Post a Comment