Tuesday, March 6, 2012

HALI NI HIVI KWA BAADHI YA MAENEO MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA TUNDUMA - MBEYA NA LAELA - SUMBAWANGA

Tunduma mvua ikinyesha hapatamaniki. Picha hizo za juu ni maeneo ya Tunduma baada ya mvua kunyesha
Hali ya mvua inayondelea maeneo ya Mbeya na Rukwa  imesababisha msongamano wa magari na mengine kupata ajali  maeneo ya Laela na Tunduma ambapo maeneo hayo wamepewa wakandarasi wa Kichina na Walebanoni
Ajali kama hivi
Kuna muda bara bara inabidi ichimbwe ndo magari yapite, bila hivyo kukesha hapo kupo

Asante sana Mdau wetu wa Rural and Urban kutokea Sumbawanga kwa matukio haya

2 comments:

ngaizaskids said...

Masikini jua likipiga shida nvua ikinyesha shida tutakuwa wageni wa nani sisi? Mungu atutazame Wanae, Tanzania itajengwa na wenye moyo na italiwa na wenye meno, c Mimi ni baba wa taifa.

Ester Ulaya said...

Ngiza dear, ni kweli, mvua shida, jua shida, tupo tupo tu, ndo nchi yetu tufanyaje sasa, tunasubiri neema toka kwa Mungu