Wednesday, February 8, 2012

UJENZI WA BARA BARA WA LAELA-SUMBAWANGA WAZIDI KUFURAHIWA

Hapo ni Kianda kijijin mkoa wa Rukwa na hao ni wanafunzi wa Mpui shule ya msingi wakitoa burudani kuhamasisha shughuli za ujenzi wa barabara ya Laela - Sumbawanga kwa ngoma hasa katika mambo ya usalama kwanza,kuepuka kucheza kando ya barabara ili kujikinga na ajali mbalimbali
Haijalishi mwandiko ukoje, lazima muelewe na mfaulu mitihani
Aiiiiiiiiii iyooo, hapo vigele gelengoma ikinoga
 Uhamasishaji wa upandaji miti
Wakina mama walienda kutoa msaada kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu waliopo katika eneo la mradi….
Picha na V. Speed Wa Rural anda Urban - Sumbawanga

No comments: