Saturday, February 25, 2012

MWIZI AKIPEWA HAKI YAKE

Eneo la Kisutu karibu na shell kuna mwizi alikuwa anashurubishwa alikutwa na mwenye Gari akijaribu kuchomoa Side Mirror, mbona shughuli aliivamia, tulimwacha akipewa kipondo, sikuweza hata kupata picha yake ya karibu

2 comments:

thobias mnzava said...

........."mwizi alikuwa anasulubishwa, alikutwa na mwenye gari akijaribu kuchomoa Side mirror..." Wezi wanakera jamani lakini bado sio sababu ya kuhalalisha kujichukulia sheria mikononi... ahemm!! kuna vyombo vya sheria.

Ester Ulaya said...

Thobias asante rafiki, nilikosea kuandika typing error, kweli kujichukulia hatua si sahihi, lakini nadhani ni zile hasira za kuibiwa ndo huwa zinasababisha tuchukue hatua mkononi