Friday, February 10, 2012

MWENGE - TEGETA ROAD CONSTRUCTION

Bara bara ya mwenge tegeta ujenzi umepamba moto, picha za chini zinaonyesha ujenzi wa bara bara hiyo unavyoendelea, twaisubiri kwa hamu iishe


3 comments:

monica kaaya said...

Kwa hapo kusema kweli wamejitaidi natamani zimalizike tuone zitakavyokuwa:)

Ester Ulaya said...

hata mimi nasubiria kwa hamu, na je foleni zitapungua?

brizzleleo.blogspot.com said...

duh hizi picha zinanifanya ni miss home kishenzi.no place like home