Saturday, February 4, 2012

LAELA - SUMBAWANGA ROAD CONSTRUCTIONUjenzi wa barabara ya Laela Sumbawanga ukiwa umepamba moto na hayo ni kati ya madaraja makubwa yanayojengwa na mradi huo uliochukuliwa na kampuni mbili tofauti  na kuungana kuwa moja ya AARSLEFF BAM INTERNATIONAL JOINT VENTURE V.O.F LAELA SUMBAWANGA ROAD PROJECT,.Mradi huo ni wa km 95 na umeanza mwaka 2010 na unatarajiwa kumalizika mwakani 2013.

STORY/PHOTOS: RURAL & URBAN BLOG TEAM - SUMBAWANGA