Monday, August 13, 2012

UTAFITI WA KWANZA WA TB MKOANI LINDI

 DR.Chezel akichukua rekodi ya wagonjwa Kijiji cha Nangaru Lindi
 Gari lenye mitambo ya X-RAY
 Dr. Chezel
 Team leaders and Village health workers

 Gari za kubeba watoa huduma
 Kazi imepamba moto -nangaru village
 Pima uzito hapa
 Mmoja mmoja unaingia kupima
 Dr. Chezel
 Wagonjwa wakisubiri kupiga X-RAY ya KIFUA

Gari maalum la Wizara Afya lenye mitambo ya X-RAY kutafiti kifua kikuu

 Team leaders from NIMR at KIWALALA village LINDI
 Washiriki Mkutano wa utafiti wa kwanza wa TB LINDI
 DR.Chezel home visiting at KIWALALA village LINDI
 Morning preparation kiwalala village
Photo Credit: Thanx Dr. Chezel

OLYMPIC 2012 IMEISHA: WATANZANIA TUMEJIFUNZA NINI??? NA KAMA TUMEJIFUNZA TUTAYAFANYIA KAZIIIIIIIIII???





DR. ULIMBOKA IN TOWN










TAMASHA LA DINI "LOVE TANZANIA" LILIVYOTIA FORA VIWANJA VYA JANGWANI JIJI DAR


Pichani Juu na Chini ni Umati wa Watanzania uliofurika kwenye Tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA linaloendelea katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka Marekani.
Vijana walioongoza na Askofu Andrew Palau wakitoa burudani na mafundisho ya dini kwa njia muziki.
Wana Dar es Salaam wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Jangwani.
Mmoja wa Wahudumu katika Tamasha hilo akipata chakula cha mchana na familia yake Uwanjani hapo.
Umati wa watu ukiwa kwenye foleni ya kupata huduma ya chakula uwanja hapo.
Moja ya Magari na wafanyakazi wa Kampuni ya Usafi iliyopewa Zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd likiwa limepaki katika Viwanja vya Jangwani kuhakikisha Usafi unazingatiwa Uwanjani hapo wakati tamasha la Dini lililopewa jina la LOVE TANZANIA likiendelea.
Pichani Juu na Chini ni moja ya michezo iliyofanyika kama sehemu ya burudani uwanjani hapo ambapo ilionekana kuvutia Umati wa Watanzania waliohudhuria tamasha hilo.
Vijana, Watoto kwa Wazee wakitazama mchezo wa mapikipiki.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Green Waste Pro Ltd akihakikisha swala usafi linazingitiwa uwanjani hapo kama inavyoonekana.
Wananchi waliohudhuria tamasha hilo wakishuhudia mchezo wa Baiskeli.
Palikuwa hapatoshi Jangwani.
Ulinzi na Usalama kwa raia ulikuwepo.
Familia zikiendelea kula, kunywa na kufurahi uwanjani hapo.
Hili ni Jukwaa la kimataifa kutoka nchini Uganda maalum kwa ajili ya Tamasha lililopewa jina la LOVE TANZANIA likiongozwa na Askofu Andrew Palau kutoka nchini Marekani, haijawahi kutokea kusikia Sound na Mziki wa Ukweli nchini kwa mliohudhuria tamasha hili mtasema.

NA HUKU WENGI WETU NDO ASILI YETU

 Mabanda ya Mifugo 
 Na mifugo ikilishwa
 Ndo vijiji vyetu, hata mijini mazingira kama haya na ufugaji wa namna hii upo tele
 Mavuno time....chezea wakulima wewe

 Sasa je!  unakumbuka wapi ukiona hivi??????????
Rural Life Style.....Haya maisha hayatofautiani saana na Mjini, hata hapa Dar yapo ukienda Mbande, Kimbiji, Mabwepande, n.k.
Asante Vero kwa Matukio haya

Sunday, August 12, 2012

PHOTO OF THE DAY

Prezzo akiwa na Walinzi wake, hii ni baada ya kutoka BBA

Kushti King Sushil Kumar's: The first Indian to win back-to-back Olympic medals

PHOTOS: Kushti King Sushil Kumar's journey to the finalPHOTOS: Kushti King Sushil Kumar's journey to the final
PHOTOS: Kushti King Sushil Kumar's journey to the final
PHOTOS: Kushti King Sushil Kumar's journey to the final
Hii ni Ile mieleka ya Kihindi niipendayo
PHOTOS: Kushti King Sushil Kumar's journey to the final
 London:  Wrestler Sushil Kumar today created history by becoming the first Indian to win back-to-back Olympic medals when he assured himself a silver by storming into the final of the men's freestyle 66 category in a dramatic fashion at the Excel arena here today.The 29-year-old Indian demolished Akhzurek Tanatrov of Kazakhstan 3-1 in an engrossing semi-final contest to achieve the memorable feat and provide the late spark to India's Olympic campaign.
With Sushil's heroics on the mat, India have now put themselves on course for the coveted gold medal which had eluded them so far.

YULE BABA NILIPOST HABARI YAKE YA KUPATA AJALI NAMANGA-KINONDONI AMEFARIKI DUNIA: POLENI SANA WAFIWA

Jana nilipigiwa simu Na Magge akanipa habari za masikitisho kuwa ajali niliyopost siku ya Ijumaa yule baba hayupo tena Duniani...Mungu aiweke Roho ya Marehemu Peponi....Amina
Na huyu ndo aliyegongwa, Nasikitika kusema kuwa amefariki....roho iliniuma sana nilipopata hizo taarifa jana