Wednesday, February 4, 2015

HONGERA SANA SANA KAKA SAMUEL MBOGO KWA KULA NONDO

Siku ya ijumaa tarehe 30/1/2015, Kaka yetu Samwel Mbogo. Alifanya graduation yake katika kanisa la CANTERBURY CRIST CHURCH UNIVERSITY (CCCU)  huko London. Alipata MA in Phychotherapy, Fuculty of Health and Social Care.

 Nakupongeza sana kaka yangu. Na kupitia wewe unatupa nguvu ambao bado tuweke NIA na tuendelee kusoma.

No comments: