Tuesday, September 9, 2014

NGUO ZA MITUMBA NI HATARI SANA HEBU ONA HAPO CHINI

Hao unaowaona kama weusi weusi kwenye ziwa hapo ni funza ambao wameform matobo matobo ambapo wanatoka nje sasa baada ya kukomaa ki ukweli tunatakiwa tuwe makini sana na nguo hizi za mitumba tunatakiwa tuzifue kwa maji ya moto ili kuua vimelea na madawa yaliyopuliziwa vinginevyo tutaumia sana na hii pia ni fundisho kwa wale wenye kuvaa nguo za ndani za mitumba pia bila kuzifua wadada na wakaka tuweni makini kwenye mavazi yetu

Kutoka @bbcswahili Instagram Page

3 comments:

sam mbogo said...

Sasa hawa funza imekuwaje, kama ulivyo shauri dada yangu mitumba ni mizuri lakini inabidi kuwa mwangalifu kama ulivyo sema.kaka s

Ester Ulaya said...

ni kweli kaka Sam hapa ni kuwa makini sana na nguo tununuazo

Yasinta Ngonyani said...

mmhhhh hii kali ...nawe kaka Sam eti funza jamani watu wana kiswahili:-)