Monday, September 8, 2014

MSANII MWENYE UMBO LA KIPEKEE AFUNIKA KWENYE UZINDUZI WA MATEI LOUNG & CAR WASH DODOMA

Mwanadada mwenye Umbo la kipekee Efrancyah Mangi jana kwenye Uzinduzi wa Matei Lounge & Car Wash aliweza kuamsha popo. Na kufanya mashabiki walipuke kwa shangwe ya kufa mtu pale kwenye show ya ufunguzi aliyoanzisha Mkali wa R&B one Six na kumalizia Ya Moto band.
CHEZEA EFRANCYAH MANGI WEWE

5 comments:

sam mbogo said...

mamayangu! wee hi kubwa kuliko? yaani hii ngoma ninzito halafu kuondokanaye huyo lazima uwena umekunywa debe moja la maziwa maana si mchezo. ila safi kama mwenyewe anafaudu kwa kuwa na mwili kama huo, hilo ndo la muhimu kuliko kujifungia ndani na hii itamsaidia sana kuondoa msongo wa mawazo kutokana na umbo lake. nina mpa kumi kwa kumi. kaka s

Ester Ulaya said...

Kaka Sam yaani nimetamani huyu dada awe Member wa KATAA UNENE mama sidani kama yuko confortable

sam mbogo said...

unajuwa dada Ester maadam amejitoa hadharani in a mana anania ya dhati kufanya sanaa, na sanaa ya muziki ina miiko yake,na inavishawishi pia. muhimu mazoezi yaendane na mfumo wa maisha yake, asi anze ghafula kujinyima kula ,ukimuona anashepu fulani ambayo akienda vizuri anaweza kata tumbo na figa yake ikawa bomba.kaka s

Ester Ulaya said...

yep kaka anatakiwa aanze taratibu na si kwa kukurupuka. na ukitaka upungue vizuri shurti uende mdogo mdogo.....maana mpaka kujikuta mkubwa hivyo ni miaka na miaka

Anonymous said...

Breaking News! Matei amefariki jana kwa ajari ya gari. RIP Matei