Monday, May 14, 2012

BONANZA LA KIKULA - UDOM LAFANA PATA MATUKIO KWA WINGI

 Mbio za magunia wanafunzi
 
 Staff wakivutana kamba na wanafunzi....wafanyakazi walishinda
 Mlinzi nae anakula flavour kwa dj...cjui anataka nyimbo za maadili
 Kuku nao walikimbizwa na staff wa kike wa UDOM
Wenye orange ni wachezaji wa collage ya Humanities and Social Science
Light blue ni Collage of Education
 Walikutana fainali na Education kuibuka washindi...wengine hapo ni Netball na Basket ball
 Mashindano ya kupiga menyu wanachuo...


Kipaji kutoka moyoni
 Zawadi kwa washindi mbalimbali Mwakilish wa kampuni ya cocacola nae akitoa shukran..ndio waliokua wadhamini wa bonanza
Idrisa Kikula.....akitoa hotuba kwa wanachuo..katika viwanja vya Collage ya Social Science
Huyu ndo reporter wetu wa matukio yote haya kutoka UDOM Jembe Ulaya, asante sana

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa kutokuwa mchoyo wa matukio yaliyotokea. Hiyo ya kukimbia na magunia nimeipenda zaidi na imenikumbusha enzi hizooooooooooooooo!!

Jestina George said...

I miss days like these jamani raha kweli hiyo sack race is my fav

Ester Ulaya said...

hizi siku huwa ni full raha jaman, nahisi walienjoy mno