Wednesday, February 8, 2012

MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSINI NA TIMU YAKE WATEMBELEA KIJIJI CHA KIKALE KWA AJILI YA KUKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA

Mama wa mitindo kutoka Faback Fashion Asia Idarous Khamsin (mwenye nguo nyekundu) akisalimiana na wananchi wa Kikale, Rufiji mara baada ya ujumbe wa Kikundi cha Kikale Youth Group kutembelea wananchi na eneo ambapo kituo kitajengwa kwa ajili ya waathirika wa madawa ya kulevya. Harambee ya kuchangisha hela kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho utafanyika katika onyesho la  'Lady in Red' Reloaded 2012 linalotarajiwa kufanyoka Februari 10, 2012 ndani ya Serena hoteli jijini Dar es Salaam. Ziara ya kutembelea kijijini hapo ilifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care, Bw. Mauldi Mlawa (kushoto) akiongea na mmoja ya waandishi wa habari kutoka Clouds Tv ambao walifika kijijini Kikale, Rufiji kujionea jinsi mradi huo utakavyoanzishwa.
Mama wa mitindo kutoka Faback Fashion Asia Idarous Khamsin (mwenye nguo nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa Kikale, Rufiji mara baada ya ujumbe wa Kikundi cha Kikale Youth Group kutembelea wananchi na eneo ambapo kituo kitajengwa kwa ajili ya waathirika wa madawa ya kulevya. Harambee ya kuchangisha hela kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho utafanyika katika onyesho la  'Lady in Red' Reloaded 2012 linalotarajiwa kufanyoka Februari 10, 2012 ndani ya Serena hoteli jijini Dar es Salaam.
Hii ndiyo nyumba waliyonunua kwa ajili ya kujenga kituo kwa ajili ya waathirika wa madawa ya kulevya. Harambee ya kuchangisha hela kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho utafanyika katika onyesho la  'Lady in Red' Reloaded 2012 linalotarajiwa kufanyoka Februari 10, 2012 ndani ya Serena hoteli jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care, Bw. Mauldi Mlawa akiongea na wananchi wa kijiji cha Kikale, Rufiji. Viongozi wengine wanaomsikiliza ni kutoka kushoto ni Mganga mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Mwenyekiti wa Wilaya ya Rufiji na Mama wa mitindo kutoka Faback Fashion Asia Idarous Khamsin (mwenye nguo nyekundu)  baada ya ujumbe wa Kikundi cha Kikale Youth Group kutembelea wananchi na eneo ambapo kituo kitajengwa kwa ajili ya waathirika wa madawa ya kulevya. Harambee ya kuchangisha hela kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho utafanyika katika onyesho la  'Lady in Red' Reloaded 2012 linalotarajiwa kufanyoka Februari 10, 2012 ndani ya Serena hoteli jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Kikundi cha Kikale Youth Care, Bw. Mauldi Mlawa akiongea na wananchi wa kijiji cha Kikale, Rufiji.


Mwenyekiti wa Wilaya ya Rufiji akiongea na wananchi wa kijiji cha Kikale, Rufiji.
Waandishi kutoka Cloud Fm wakifuatilia mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika.
Wananchi wa kijiji cha Kikale, Rufiji wakifuatilia kwa makini.
Mganga mkuu wa Wilaya ya Rufiji akiongea na wananchi juu ya uanzishwaji wa kituo hicho.
Mama wa mitindo kutoka Faback Fashion Asia Idarous Khamsin akiongea na wananchi wa Kikale, Rufiji mara baada ya ujumbe wa Kikundi cha Kikale Youth Group kutembelea wananchi na eneo ambapo kituo kitajengwa kwa ajili ya waathirika wa madawa ya kulevya. Harambee ya kuchangisha hela kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho utafanyika katika onyesho la  'Lady in Red' Reloaded 2012 linalotarajiwa kufanyoka Februari 10, 2012 ndani ya Serena hoteli jijini Dar es Salaam.
Mwananchi wa kijiji cha kikake, Akishukuru ujumbe wa Kikale Youth Group kufika kijijini kwao na kuanzisha kituo.
Mwenyekiti wa Kijiji cha kikale akiongea machache.
Mama wa mitindo kutoka Faback Fashion Asia Idarous Khamsin akiongea na akina mama wa kijijini cha Kikale Rufiji juu ya kujengwa kwa kituo cha waathirika wa madawa ya kulevya. Na mambo mengine yanayowahusu akina mama. 
Picha zote na Cathbert A. Kajuna wa Kajunason Blog.

No comments: