Monday, February 20, 2012

HAPA NA PALE REDLIGHT DISTRICT - AMSTERDAM

MOBILE GENGE - Hapo ni kijisoko tu cha mtaani (tunaweza kuita genge). Kama inavyoonekana kuwa genge limebebwa kwenye gari. Mimi nafikiri ni bora kuwa na soko lako kama hili. Hehehehe. Unanunua van unakuwa unazunguka nalo mjini. Unawavizia watu wanaotoka makazini.
Muonekano zaidi wa soko hilo upande wa maua
Safi sana
Hapa wananchi wakiwa busy kucheck bidhaa na kununua mahitaji yao

Asante sana Mdau wetu uliyeko U-Holanzi kushare nasi Life Style ya Huko

No comments: