Monday, February 13, 2012

HAPA NA PALE - ON SATURDAY

Konda akiwa busy kuita abiria - Mwenge Kariakoo
Dereva wa dala dala akiwa mzigoni
Wananchi wakiingia kwenye kivuko MV MAGOGONI
Kivuko kikielekea upande wa pili, wananchi wametulia tuliiiii
Meli ya mizigo ikiwa inaingia bandari ya Dar
Ilitubidi kusubiri kwa muda Meli hiyo ipite ndo nasi tuendelee kuvuka upande wa pili

Tumeshavuka sasa twashuka kutoka kwenye kivuko
Mara nyingi wananchi washukao humu hutoka speed mno tena wengi wao wakiwa wanakimbia kuelekea upande wa dala dala zilipopark, nadhani lengo ni kuwahi usafiri wa dala dala
Babu akisubiri dala dala kituoni maeneo ya Kibada-Kigamboni

No comments: