Monday, June 25, 2012

UKIENDA NYUMBANI LOUNGE UNAPATA MSOSI WA NGUVU KAMA HUU


3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

wewe ester wewe mbona kutamanishana hivi hujui hiki ni chakula changu kikuu...ila mie nataka ugali bwana tena wa muhogo:-)

Interestedtips said...

Yasinta si ndo ukila na ugali unasinzia hapo hapo

kokusimah said...

My lunch uwiiii patanikomaje ntakula mpaka viingie mguuni. Nakumbushia senene