Mabanda ya Mifugo
Na mifugo ikilishwa
Ndo vijiji vyetu, hata mijini mazingira kama haya na ufugaji wa namna hii upo tele
Mavuno time....chezea wakulima wewe
Sasa je! unakumbuka wapi ukiona hivi??????????
Rural Life Style.....Haya maisha hayatofautiani saana na Mjini, hata hapa Dar yapo ukienda Mbande, Kimbiji, Mabwepande, n.k.
Asante Vero kwa Matukio haya
Asante Vero kwa Matukio haya