Mdogo wangu wa ukwee
Nakutakia maisha mema na marefu, hasa katika kumtegemea Mungu kwa kila ufanyalo
Najidai sana kuwa na mdogo kama wewe...kwenye shida na raha twakumbukana...shukrani sana kwa upendo uuonyeshao kwangu na kwa familia kwa ujumla.
NAKUPENDA SANA NA DAIMA TUTAKUWA BEGA KWA BEGA KWENYE KUTIMIZA NDOTO ZAKO......AMINA