Monday, June 25, 2012

ANAMPELEKA WAPI??????????

Hapa ni maeneo ya Ikulu na Ofisi ya Makamu wa Rais
Sasa huyu Mgambo kamkamata huyu jamaa akaanza kushuka naye kule chini kama unaelekea Baharini.....Ocean Road...kwanini aelekee naye kule????
Akawa anampigisha story huku wanashuka....kwanini aelekee naye kule????
Kwanini asimpeleke maeneo ya kati kati ya mji ndo kuna Kituo cha Polisi
Haooo
Mgambo wa mji na Jamaa anayeuza sumu ya panya,mende,kunguni,viroboto, dawa ya Mapunye.........

No comments: