Thursday, March 8, 2012

INTERNATIONAL WOMEN'S DAY 2012

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Wanawake tunaweza na wale tusirudi nyuma. Wanawake oyeeeeee.

Interestedtips said...

Amen dada tunaweza kabisa, Wanawake Oyeeeee

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Hongereni wanawake wote. Bila ninyi kusingekuwa na jamii. Mungu Aendelee kuwabariki na msichoke kupambana na mfumo dume. Mwishowe mtafanikiwa tu !!!