Thursday, March 8, 2012

HAPA NA PALE MJINI TABORA

 Ujenzi wa Round About Tabora mjini, karibu na Uyui Secondary, Chuo cha Ualimu Tabora na Uwanja wa Vita, nadhani hadi hapo kwa maelezo hayo mmeshaifahamu ni Round About ipi hasa kwa wale wanaopafahamu Tabora
 Stand kuu ya mabasi yaendayo mikoani
 Walau bado bado pana hali nzuri, miaka mitano ijayo sijui patakuwaje
Soko kuu tabora katika mishemishe za maendeleo

Asante sana Mdau wa Blog yetu kutokea Tabora kwa Picha hizi

4 comments:

Simon Kitururu said...

DUH! Mji huu sijawahi kufika!:-(

Interestedtips said...

Simoni kumbe hujawahi fika Unyanyeme? basi utafika kwa njia ya picha na matukio kupitia hapa

Simon Kitururu said...

Asante kwa Picha Ester!

Interestedtips said...

Asante sana, pia nilimaanisha Unyanyembe