
Mabanda ya Mifugo

Na mifugo ikilishwa

Ndo vijiji vyetu, hata mijini mazingira kama haya na ufugaji wa namna hii upo tele

Mavuno time....chezea wakulima wewe

Sasa je! unakumbuka wapi ukiona hivi??????????

Rural Life Style.....Haya maisha hayatofautiani saana na Mjini, hata hapa Dar yapo ukienda Mbande, Kimbiji, Mabwepande, n.k.
Asante Vero kwa Matukio haya
Asante Vero kwa Matukio haya
1 comment:
Hakika jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.
Post a Comment