ILIKUWA NI MBWEMBWE TU ZA KUPANDA JUU YA MTI...MIMI NA MDOGO WANGU
3 comments:
SAM mbogo
said...
sasa dada yangu UMENIKUMBUSHA ungekuwa hujaolewa na bado kasichana, kupanda miti mtoto wakike, zamani wakati wakuolewa ukikabidhiwa kiumeni mzazi anasema tumekupa mtoto wetu,binti yetu hana hata kovu! kumbe sasa mtumwenyewe ulikuwa ukipanda mpaka miti ya miembe, halafu ukapata kovu kutokana na kukwaruzwa na tawi,ila ukaminya hukusema sasa mzee anajigamba mwanangu hana kovu kumbe wewe namumeo siri yenu!. hapo wapi kisarawe nini au TBR. KAKA S.
hhehehe kaka Sam umenikumbsha mbali pia, ilikuwa ni Tabora likizo mwezi wa kumi na mbili, dada Yas alinishinda mdogo wangu...maana tuliset saa tuone kila mtu atafika hapo kwa sekunde ngapi

Ni lini ilikuwa hii?...duh ni mbwembwe kweli... na je nani alishinda?

Post a Comment