Nikapewa zawadi ya Cake toka kwa Group, imeandikwa Kireno.
Kwa upepo wa bahari ya Hindi ilibidi nikitumie kikoi changu ipasavyo
Birthday Lady
Nikiwa na wamiliki wa Boat hii .... Mmoja aliwahi kuishi Zanzibar na mwingine aliwahi kuishi Dar akifanya kazi Wazo Cement... kwasasa wamestaafu wanaishi hapa Maputo wakifanya biashara moja wapo ni hii Boat yao. Kila jumapili inakuwa inapeleka watu kisiwani, wanafanya biashaa huku na wao waki enjoy. Maisha matamu bila stress
John and Marumoto
Parker
Andy
Tukabadilishana, ila kwenye playlist yake zimejaa nyimbo za watanzania, kweli wakenya wanatukubali
Mkenya, Mmalawi, Mkenya, Mtanzania na Mkenya
Marumoto, Andy and Parker at the Island
At Xefina Island
Balozi wa Canada na mwanaye kisiwani
Moja, mbili, tatuuuu
Huyooo
Huyoooo
Wapenda kuogelea wakifanya hivyo
Wahudumu
Na siku ikaisha hivyo, Asante Mungu
2 comments:
Kwanza nikupongeze kwa siku yako ya kuzaliwa.Hongera sana mama Elvine. kumbe nilikuwa na kosa uhondo wa picha kutoka msumbiji, hakika nimetamani sana kutembelea nchi hiyo. nikitu ambacho nimekiweka akilini lazima kunapo uhai nitemabelee msumbiji na Angola. haya karibu tena nyumani. kaka s
Asante sana kaka Sam..kweli kuzunguka kunasababisha una enjoy na kurefresh na kujua wengne wanaishije
Post a Comment