Chakani
Ngo ngo ngo........
The swagga continues
Soil cement block production
Mtendaji akitoa maelekezo namna ya ku oparate mashine hiyo |
Matunda pori
Ukuta wa mfano wa matofali hayo |
Mbio za mwenge mwaka huu zilipita hapo tarehe hiyo kwenye tofali kufanya uzinduzi wa mashine hizo na kuhamasisha ujenzi wa madarasa ya Sekondary hiyo
Vyoo
Parade/Assembly
Majengo ya shule yakiendelea kujengwa...na watatumia matofali hayo juu kujengea
Maji ya bomba shuleni hapo ni mengi sana tu, wana tanki la kuhifadhia maji pia
6 comments:
Elimu haina mwisho. Kazi ukiijua vema haikupi shida maana watu wa kusini wanasema madengo ntiima[kazi ni moyo].
Pamoja ndani ya swagga!!!
Elimu ni ufunguo wa maisha kaka Ray....umenena
Ukitaka kupata elimu usiulize umri wala kabila la mwalimu.Ualimu ni wito katika maana hii:
Iwapo mwalimu ataamua kutimiza tu ratiba yake hakuna mwanafunzi atayeweza kufungua macho na kujua tofauti na dunia na ulimwengu.
Hongera kwa Mh. Rais J. M. Kikwete na Diwan wa Msoga Mh. M. S. Mzimba kwa juhudi zao katika kuanzisha na kuiendeleza shule iyo....
Hongera ziwafikie Mh. Raisi Jk, na Diwani wake wa Msoga Mh. M. S. Mzimba...kwa juhudi zao za kuhakikisha kwamba wananchi wa maeneo ayo wana hamka kielimu.....iyo shule ya mboga iwe chachu ya maendeleo ya kielimu katika vijiji vya chalinze...
Hongera kwa Mh. Rais J. M. Kikwete na Diwan wa Msoga Mh. M. S. Mzimba kwa juhudi zao katika kuanzisha na kuiendeleza shule iyo....
Post a Comment