Tuesday, June 26, 2012

TUCHEMSHE UBONGO KIDOGO LEO KWA KUCHEZA GAME

MAMBO WAPENDWA, LEO TUCHEZE GAME KIDOGO, JEDWALI LA KULIA LINA MANENO YA KIFAMILIA, KAZI YAKO NI KUTAFUTA KILA MOJA UNALIPIGIA MSTARI KWENYE JEDWALI LA KUSHOTO......TWENDE KAZI

4 comments:

kokusimah said...

Ugonjwa wa Mama D Number 2, nimeona hayo maneno brother na aunt sasa napigaje msitari mpendwa wangu? Buthu

Yasinta Ngonyani said...

Ester maneno yote nimeyaona sasa kazi inakuja kwenye kupiga mstari inakuwaje? nimeshindwa

Interestedtips said...

MY WII JICHOREE KWENYE KARATASI, MITH U UUU, NITALETA JIBU BAADAE

Interestedtips said...

YASINTA KWAKUWA UMEYAONA MANENO YOTEEE UMESHINDA MTIHANI, NA UPO ACTIVE KIAKILI, SAFI SANA