Hii imetokea leo jumamosi asubuhi majira ya saa tatu asubuhi baada ya gari ya
kampuni ya Kanji Ladji inayobeba bia iliokuwa inatokea Mbeya kwenda
Sumbawanga ikiwa imesheheni vinywaji kupata ajali na kuanguka majira ya
saa tatu asubuhi.
Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi.....baada ya ajaali hiyo kutokea
kijiji cha Mshani km 19 kutoka Laela-Sumbawanga ilikuwa kama sherehe kwa wengine
kwani wanakijiji walivamia gari na wakaruhusiwa kunywa watakavyo ila
hakuna kuondoka na chupa.....asubuhi watu walikuwa wamelewa
chakari...Maisha bora kwa kila Mtanzania...
Asante sana Reporter wetu Wa Rural & Urban Kutoka Sumbawanga Veronica
No comments:
Post a Comment