Wednesday, June 27, 2012

BIBI MZAA BABA WA LADY JAYDEE AFARIKI DUNIA - ULALE PEMA PEPONI BIBI

HABARI ZA MSIBA ZIMETUFIKIA USIKU WA LEO  KWA MAJONZI TELE, UKIWA UMETOKEA HOSPITALI YA LUGALO
 
Msiba hauzoeleki hata siku moja,mnapoondokewa mnahuzunika na mara nyingi kulia...MUNGU alimbariki na kumpa miaka mingi duniani imefika wakati kaona imetosha,twarudisha shukrani kwake Muumba,R.I.P Esther Mogaya Wa Mankaba
RURAL & URBAN BLOG TUNATOA POLE KWA FAMILIA NZIMA KWANI NI WAKATI MGUMU MLIO NAO SASA, MUNGU AWAPE MOYO WA UJASILI MUWEZE KUHIMILI MIKIKI YA HUZUNI, KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA

3 comments:

Mija Shija Sayi said...

RIP bibi...

Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu katika wakati huu mgumu..

Tuko pamoja.

Interestedtips said...

AMEN

kokusimah said...

Oh maskini bibi yetu, Mungu ampokee na ampe nafasi mbinguni. Pumzika kwa Amani bibi yetu.