Twiga kibaoooooo
Hapa ni kupanda juu kabisa ya mlima, kuna jiwe kubwaaaaaaaaa, inabidi nako pakafanyiwe upimaji, ni kupanda kwa kutambaa
Hatimae wakafika juuu
Mbuga nzuri sanaaaa
Mimi kutambaa kwenye jiwe kubwa pale juu walinizuia, ikabidi nibaki huko juu ya jiwe lingine mlimani niwasubiri watoke kwenye lile jiwe lililo juu zaidi ndo tushuke wote chini
Tukicheki maeneo ya Mbuga
Pundamilia wengiiiiiiii
Tupende kutembelea Mbuga zetu
3 comments:
This is so inspiring! I would love to go on a safari one day :)
Mally
xox
Ester kwa kweli ni kweli kunapendeza na ni kweli tuwe tunatembelea mbuga zetu tusiwaache wageni tu wafaidi. Ahsante kwa kutushirikisha.
Mally ur welcome
Yasinta asante san, usemalo ni sahihi kabisa
Post a Comment