Mishahara bado ni duni, gharama za maisha zinapanda kila siku, kodi kubwa tunakatwa, bado mazingira magumu ya kazi tunayofanyia hizo kazi zetu, sifahamu kama mafao ya uzeeni yameshaboreshwa n.k.
Je! pamoja na yote hayo kazi tunafanya kwa bidiiiiiiii? au kwakuwa hayo yaliyosemwa hapo juu yanasababisha tuwe wazembe kazini?
Jiulize swali hilo, utafakari kwa makini na uchukue hatua
No comments:
Post a Comment