Monday, March 5, 2012

URBAN LIFE

Haya ni maeneo ya Goba Mtambani-Dar, mama na watoto wakitoka kuchota maji kwenye visima walivyochimba
Mtoto anamsaidia mama kuchota maji
Huyu mtoto nimependa alivyovaa ndala, wengi tulipokuwa wadogo tulivaa style hii
 Haya maji walikuwa wanachota kwaajili ya kuwapa mifugo na wakasema baadhi wanayaoshea vyombo
Maji hayo hapo pembeni ya ndoo ya blue maranyingi ndo wanapikia, kufulia, kuoshea vyombo, nk. ni ya chem chem,wakichota yanapungua, wanasubiria kidogo yanaongezeka wanaendelea kuchota hadi ndoo ijae,walau ni masafi kiasi, lakini yapo kama maziwa, na hapo ndo alikuwa kaweka ndoo achote, baadhi ya maeneo mjini hali ni hivi tena Dar, je! kijijini hali ikoje?

2 comments:

Unknown said...

Kwa kweli hali ni mbaya sana kama mjini kunakodhaniwa kuwa na maisha bora ndo hivi vijijini sijui wataponea wapi Mungu atusaidie kwa kweli maisha yanazidi kuwa magumu

Interestedtips said...

Majoyy hali ni tata