|
Wakazi/wenyezi wa Tabora wakicheza Bao |
Wakazi wa Tabora wanasifika kwa mchezo huu, kinachonifurahisha katika huu mchezo ni vile wanavyokuwa wanahesabu kete, na kujua wapi atakaposhinda na wapi atalala
Concentration inatakiwa, bila hivyo utafungwa sana
No comments:
Post a Comment