


Amitabh Bachchan, Govinda na wengine ilikuwa kwenye vibanda kama hivi ndo tukawafahamia huku, siku ya sikukuu watoto tunajazana humu

Hapa wanaonyesha hadi na Mpira, unaona antenna hapo juu, kwakuwa bado hakuna umeme, wanatumia Generetor. Hizi sehemu zinasaidia kwakweli, ni kiingilio chako tu
1 comment:
Thanks a lot! I'm following, follow me :)
xx
www.sickbytrend.com
Post a Comment