Kumsindikiza Captain G pia, kwa siku yake ya kuzaliwa
Tuna vitu vipya kundini, kutoka kushoto ni Wanty, Jide, Happy Happy na Cisca Kayombo
Huyu ni Stella (Mdau kutoka Tanga)
Upendo ulioje alifunga safari kuja kujumuika nasi
Na alifika ontime (kuliko wengine wote)
Till D............ DO US APART
Cake time
GK na Cute Smile wakilishana keki
Pretty Dacha, Wise Monica Kaaya na Leon Lee wakati wa maakuli, wote hawa ni wapya kundini.
Tunashukuru kwa kukubali kuwa nasi, tunazidi kulikuza kundi
Faraji mzee wa Zuberi akilipua ShampanyooTukapiga Cheers kwa afya zetu
Picha ya Pamoja
 |
Ester Ulaya a.k.a Mrs CA, Jide na Maggie |
Beautiful Ladies
Tulijibebea mapema CD ya album YA 5 kwa usiku huo
Wanty na Stella
Wency akisainiwa CD
Kushoto ni Imma kaka wa kwanza kabisa kundini, Mzee wa Zuberi pale kati na kulia ni Sab a.k.a Mamaa wa Parking
Wanty na Anna
Shukrani za pekee kwa Lady Jay Dee na Gadner G. kwa kupata wazo hili na kuanzisha familia hii, kwakweli ni nzuri sana na inatufanya tunaishi kama ndugu kabisa na tuna upendo wa hali ya juu, La Familia idumu zaidi na zaidi, AMEN.
No comments:
Post a Comment