IF YOU’RE STRESSED UP, DANCE LIKE YOU HAVE NEVER DANCED BEFORE
USIJIULIZE UMEWEKA WAPI VIATU WAKATI HUO
![]() |
UKIWEZA IMBA AU SHANGILIA KUUPA SUPPORT MZIKI UUCHEZAO NA UKITOKA HAPO, AKILI ITAKUWA IMECHANGAMKA, UCHOVU WA AKILI UMEKUISHA NA UTAWEZA KUFANYA MAMBO YAKO |
2 comments:
Kazi nzuri mdada.Keep up the good work.have a lovely weekend.
Thanx a lot Edna, Like wise
Post a Comment