Saturday, December 28, 2013

UMOJA FAMILY - BLESSED FAMILY

















BABA MUNGU TWAOMBA UENDELEE KUBARIKI KAZI YA MIKONO YETU NA TUENDELEE KUWAPENDA WENGINE KAMA TULIVYOFANYA HILI JAMBO MWAKA HUU....AMEN

SIKU FULANI HIVI MATEMBEZINI KISARAWE

 Nyumba ikijengwa


 Safi sana popote njia
 Peace
 Tanuru la mkaa

 Mama Alvin
 Mazungumzo ya hapa na pale
Darasa kidogo
Mapumziko kidogo

Friday, December 6, 2013

Monday, November 18, 2013

TUELEKEE KUSINI MWA TANZANIA

 Mwanaume kazini - Mtwara

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na ujumbe wake wakipata chai nyumbani kwa Balozi Said katika kijiji cha Mchomoro,wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma
 Haloo Namtumbo
 Sugua Gaga
 Nikiona hivi nakumbuka enzi zangu
 Ndani ya moja ya kiwanda cha korosho wilayani Tunduru mkoani Ruvuma 
 Nape Nnauye akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha korosho wilani Tunduru mkoani Ruvuma
 Korosho zikichambuliwa kwenye moja ya kiwanda wilayani Tunduru mkoani Ruvuma

Picha zote kwa hisani ya Michuzi Jr wa Jiachie Blog

TUJALI AFYA ZETU : JUMATATU NJEMA


Thursday, November 14, 2013

HONGERA SANA MILLEN MAGESE KWA ULICHOFANYA NYUMBANI : MTWARA 2013/14 PROJECT

 Akiwa na team nzima
 Sasa wanafunzi watakaa wanne wanne badala ya watano au sita



 Heshima toaaaa.....shikaaamooo Shaangaziii....




Kazi nzuri mama
Akiwa na furaha baada ya kazi nzuri

ULICHOKIFANYA MTWARA NI CHA KUIGWA.......HONGERA SANAAA

PHOTO CREDIT : Ladivamillen Instagram

Wednesday, October 30, 2013

AJALI MBAYA YA DALA DLA YAUA WATATU MWANZA JIONI YA LEO

 Umati wa watu katika tukio la ajali ya dalala iliyokuwa inawakimbia trafik kwa makosa ya kuingilia root na kupasuka tairi na kusababisa vifo vya watembea kwa miguu watatu na kujeruhi watu kadhaa. Ilikuwa mida ya saa moja jion
 Samahani kwa picha kufifia
Haice iliyopata ajal na kuwa katika hali hii maeneo ya igoma mkabala na St. Marys school. Gari ya kishiri via Buhongwa ila dereva alikimbia baada ya tukio!

Samahani kwa picha kufifia...majeruhi na maiti zilipelekwa hospitali....poleni sana mliokumbwa na janga hilo.

Asante Madam Hellen kwa picha