Tuesday, October 22, 2013

WANA UMOJA FAMILY 7 WASHEREHEKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA MWEZI WA KUMI

Mnamo mwezi wa Oktoba wanachama saba wa kikundi cha Umoja Family walifanya sherehe ya kumbukumbu ya siku zao za kuzaliwa, ambapo wanachama hao walijikuta wamezaliwa mwezi wa Oktoba japo tarehe zilikuwa tofauti walichoamua ni kufanya sherehe moja.
Mhadhini wa Kikundi cha Umoja Family, Mema Berege akiongea machache wakati wa sherehe huku wageni waalikwa wakiendelea kukata kiu.
Wageni waalikwa wakifuatilia sherehe hiyo.
Mwakilishi wa mama Mlezi wa Kikundi hicho, Gadna Habash akitoa machache. Kikundi hicho kinalelewa na Mwanadada Lady Jaydee.
Wanachama waliokuwa wakiadhimisha kumbukumbu za siku zao za kuzaliwa, wakiimbiwa wimbo wa kupongezwa.
Keki ikikatwa...
Hapa ilikuwa ni lishe nikulishe...
Baada ya kusherehekea na wenzake, Bavon alipata keki toka kwa mahabuba wake ambaye alimsaidia kuikata.
Mambo ya shampeniiiiiiiiiiiiiiiiiii....
Mazungumzo ya hapa na pale yakiendelea kunoga...
Shampeni ikigawiwa kwa wageni...
Tusherehekee kwa pamoja...
Gadna akiwapongeza...
Mzee wa shangweeeeeee mwanzo mwishooooo akitoa glass ya pongezi.
Shangweee za hapa na paleee zikiendelea...
Marafiki wakipongezana... Malisa na Mama Alvin.
Mtu na mdogo wake... Mema Berege na Mama Alvin.
Hata mzee wa Kajunason Blog, Cathbert Angelo alikuwepo pia, hapo akimpongeza mkewe Mama Alvin. Katikati ni Lema.
Marafiki wakibadilishana mawazo.
Showlove...
Show matataaaaaaa kupamba sherehe.
Picha za ukumbusho nazo zilipamba...
Mazungumzo ya hapa na pale yamenogaaaaaaaaaaaa
PICHA ZOTE KWA HISANI YA KAJUNASON BLOG

Monday, October 14, 2013

KILIMO HICHOOOOOOO CHAJA : MSIMU UNAGONGA HODI

Rural Life Style
Wakulima, msimu wa kulima huo uko kwenye kona. Tuzingatie Kilimo hasa kwa wale waliojipanga
Kama ni Miti kama hii haya, kama ni mahindi sawa, maharage, njugu, kunde, n.k.
Kila la heri wakulima wooote

Picha Shukrani sana DUMISHA a.k.a MWENYEKITI

Saturday, October 12, 2013

OLD IS GOLD


Recreating his iconic Hair and Jewel image from the Seventies (left), which featured a model wearing one million dollars of diamonds, now the 75-year-old decided to use $500 million worth of precious jewels (right)



Model Dalia Gunther had her chignon outfitted with 22 rare jewels created at Graff¿s headquarters in London, inlcuding a 52.73-carat vivid yellow emerald cut diamond ring 
SOURCE: Mail Online

Thursday, October 10, 2013

ZA KICHINA CHINA...........HUUU HAAA




SIJUI WAMEUDHIANA NINI JAMANI HAWA TWIGA

NAWATAKIA SIKU NJEMA




MTANISAMEHE HUMU NDANI KWA UKIMYA........MALEZI YAMENIBANA

SI MNAJUA TENA UZAZI WA MWANZO UNAVYOKUWA KWA WALE WANAOFAHAMU

ILA TUPO PAMOJA HASA NIKIPATA NAFASI KAMA SASA

Wednesday, October 2, 2013

SHUGHULI NDOGO YA MPENDWA WETU JACK NGONGOSEKE ILIYOFANYIKA WEEKEND



Mtarajiwa wetu
Za kwenye Insta zikipigwa

Bonge mama Alvin
Mama Cleopatra
Bibi Chau alijumuika nasi



Shughuli ni watu