Monday, February 18, 2013

MCHANA WA LEO TUUPITISHE NAMNA HII

Tule ugali
 Na samaki waliokaangwa
 Au na Samaki waliochomwa
Hawa ni samaki ambao wamechomwa na wanalika vizuri sana
Na kachumbari pembeni yenye pilipili au isiyo na pilipili, ni wewe upendavyo tu
Ukishiba pumzika kidogo halafu ushushie na maji ya kunywa baridiiiii
Wakati umepumzika unakuwa unashushia na matunda kidogo kidogo

Nawatakia mchana mwema na mlo mwema

Thursday, February 14, 2013

WHAT DOES VALENTINE'S DAY MEAN

Valentine's Day is observed on February 14 each year. It is celebrated in many countries around the world, although it remains a working day in most of them.

The day was first associated with romantic love in the circle of Geoffrey Chaucer in the High Middle Ages, when the tradition of courtly love flourished. By the 15th century, it had evolved into an occasion in which lovers expressed their love for each other by presenting flowers, offering confectionery, and sending greeting cards (known as "valentines").

Valentine's Day symbols that are used today include the heart-shaped outline, doves, and the figure of the winged Cupid. Since the 19th century, handwritten valentines have given way to mass-produced greeting cards


HAPPY VALENTINE'S TO U ALL

. "You have to walk carefully in the beginning of love; the running across fields into your lover's arms can only come later when you're sure they won't laugh if you
trip."
Jonathan Carroll "Outside The Dog Museum"

 Love one another as you love urself
Share some ideas together

Wednesday, February 13, 2013

THE LONGEST MARRIED COUPLE IN THE U.S.

A Connecticut couple who tied the knot over 80 years ago

John and Ann Betar of Fairfield, Conn., said "I do" on Nov. 25, 1932, and have been happily married for 80 years. Together they have five children, 14 grandchildren and 16 great-grandchildren.

JUMATANO YA MAJIVU: 13/02/2013



Funga siku ya jumatano ya majivu, usile nyama siku ya Ijumaa kuu.

Kwa wale Wakristu wote nawatakia Kwaresma Njema yenye unyenyekevu mbele ya Mwenyezi Mungu, tukikumbuka mateso ya Bwana wetu Yesu Kristu pale Msalabani alipokufa kwa ajili yetu, tujifunze kusamehe, kutubu dhambi zetu na kukumbuka ibada ikiambatana na kusaidia wasiojiweza.

Thursday, February 7, 2013

KAZI NI KAZI..........KUMBUKUMBU: 2010

 Hii ilikuwa Tabora


Hii part nikiikumbuka huwa nacheka mno, nilipojaribu kupanda nikawa naona kizungu zungu, nikaomba apande kwanza mkaka ndo nami niende juu
 Akapanda mkaka nami sasa nikapata ujasiri

 


Hatimae kazi ikafanikiwa na nikashuka

HUYU ATAKUWA SI MTOTO WAKE NA HANA HURUMA KABISAAA KWA WATOTO......KAMA NI MAIGIZO HUU NI UNYANYASAJI AISEE

Tuesday, February 5, 2013

HIVI HUWA UNAKULA MIWA????...HAYA TWENDENI KAZURAMIMBA-KIGOMA TUKAITAFUNE

 Akina mama na akina baba wa Kazuramimba-Kigoma wakifanya biashara ya miwa, hii miwa ni mitamu sana ya hapa, huwa nikipita maeneo haya lazima ninunue hii miwa

 Je unajua faida ya miwa???????........Soma hapo chini Benefit zake
Watoto wa shule nao wakitoka shule wanapitia miwa wanakula


The Benefits Of Drinking Sugarcane Juice:
As raw sugar contains no simple sugars, sugarcane juice has a relatively low glycemic index (the effect a carbohydrate has on blood glucose levels), which keeps the body's metabolism healthy and helps maintain a healthy body weight. Roughly one teaspoon of raw sugar contains only eleven calories. The natural minerals and vitamins found in sugarcane are exceedingly valuable. Phosphorus, calcium, iron, magnesium and potassium. Sugarcane is an alkalizing substance, and therefore is beneficial at fighting cancer. Studies have shown that it has proven an effective at fighting prostate and breast cancer cells. Furthermore, it is exceptionally beneficial for rehydration as it not only cools the body but also energizes with a high quantity of useful carbohydrates and protein. The nutrients found in sugarcane are beneficial to inner organ functioning, including the kidneys, heart, brain and sex organs.

Monday, February 4, 2013

LEO NI JUMATATU TUMEIANZA SAFARI IKIWA NDO MWANZO WA WIKI

Niwatakie ufanisi mwema wa kazi kwa wiki yote hii na mafanikio tele, kwani ndo tumeanza wiki.........safari iwe njema kwetu sote

MIMI PENDA SANA NYIE