Monday, January 21, 2013

NO COMMENT.....DUH


ROBERTS MBABAZI AWAFUNZA WAGANDA KUNYWA KAHAWA


Bingwa wa biashara ya kahawa Afrika , (African barista champion Roberts Mbabazi ) anaelezea changamoto ya kuwashawishi watu Barani Afrika ambako kahawa iligunduliwa, kuweza kunywa kahawa.
Roberts Mbabazi

Ingawa athari za kahawai, zinasemekana kugunduliwa Afrika, kulingana na hekaya za zamani, na raia wa Ethiopia , watu hawanywi sana kahawa barani Afrika kama ilivyo kwingineko duniani.
Hiyo imekuwa tatizo kubwa kwa mtaalamau na bingwa wa kahawa Roberts Mbabazi kutoka Uganda, nchi ya wanywaji wengi wa chai, na ambayo pia ni mzalishaji mkubwa wa kahawa aina ya Robusta duniani.
"Waganda hawanywi sana kahawa. Hiyo ndio imekuwa changamyo yangu kubwa. Mtu anaweza kukuuliza, ‘kwa nini kahawa? Kwa nini nisinywe chai? Kwa nini nisinywe soda au hata maji ya chupa?

NIMEWAPENDA HAWA WADADA WAKO SMART NA MIKANDA YAO

Kama mapacha vile...Callie Thorpe, Bethany Rutter and Georgina Horne

Friday, January 18, 2013

HEHEHEHE MAMBO YA MWAKA 1890..........MASSAGE ZA SIKU HIZI NI KUBEMBELEZANA TU FANYENI KAMA HAWA

 Re-creation: A photo from 1890s pre-revolutionary Russia shows a massage session in full flow at Oriental baths of Tbilisi, now capital of Georgia

 Treatment: The man on the massage table looks up at the photographer whilst the second man gets to work
 hehehehehehhee uwiiiii

No pain, no gain: Performing an 'Eastern spine massage' the masseur stands on the man's hands and legs


And relax: A shisha-pipe has been brought in as one of the men gets a final scrub 



AFRICA INAFANANA

 Hapa ni Rwanda.........jamaa akiwa ardhini, eidha alishafariki au njaa kali au kazidiwa
Lakini watu wanampita tu bila hata kuwa na habari, hii hata bongo ipo hii, unapitwa tu bila watu kujali....ni wachache sana huwa wanachekiwa......lakini waewezakuta ni mbinu tu za aliyelala ukimsogelea kumsaidia unapigwa kabali ya fasta

Asante mdau kwa picha hizi

Monday, January 14, 2013

HATIMAE TUKAKUTANA.........ILIKUWA FURAHA SANA

Dada Yasinta Ngonyani na mimi........tulikutana wiki iliyopita alikuwa akimalizia likizo na familia yake kabla hajarudi kunako makazi yake.......tuko busy twamsikiliza Mr. Mgaya
Mr. Mgaya mwenyeji wetu hapo akitupigisha story za hapa na pale


Kutoka kushoto ni mimi, Dada Yasinta wa Maisha na mafanikio blog, Mr. wa dada Yasinta, Mr. Mgaya na Kaka/rafiki wa karibu sana wa Dada Yasinta, hicho kiti empty ni cha mpiga picha wetu mashuhuri sana wa Kajunason Blog , asante sana kwa picha hizi .............kwakweli hii siku ilikuwa nzuri sana na fupi mno, tuliongea weeeeeeeee, ikabidi tu maongezi yakatishwe maana muda ulienda....kaka Chacha hayupo pichani alikuja baadae story zikanoka tukasahau hata kupiga naye picha ya kumbukumbu

Nawatakia j3 njema woteeeeeeee

Sunday, January 13, 2013

WAFARANSA WAPINGA NDOA YA JINSIA MOJA

Maelfu ya Wafaransa wameandamana katika barabara za mjini Paris kupinga mpango wa serikali kuhalalisha ndoa kati ya jinsia moja.
Mswada uliopendekezwa na serikali ya kisoshalisti ya Francois Hoillande itaruhusu watu wa jinsia moja kuoana na kulea watoto.
Watu kama laki moja wameandamana katika mihadhara mitatu tofauti na kukusanyika karibu na Eiffel Tower.
Waliotayarisha maandamano hayo wanasema waliohudhuria ni nusu milioni.

Friday, January 11, 2013

WABUNGE WA KENYA WAMEJIPA KITITA CHA KUJIAGA PINDI WANAPOMALIZA KUTUMIKIA BUNGE


Kenyan MPs have quietly voted themselves a £17 million bonus to be paid when they leave office, despite the country's president vetoing an earlier attempt to approve the package.
The Bill, agreed in a late-night parliamentary sitting on Wednesday, also gave each former MP an armed guard for life, a diplomatic passport, guaranteed access to airport VIP lounges, and a state funeral.

Kenya's legislators are already among the highest paid in the world, earning £82,000 a year, compared to a backbench British MP's £65,738 salary.
Mwai Kibaki, the president, threw out his MPs' attempts to pass the same Bill in October, calling it "unconstitutional" and "unaffordable". It would take the average Kenyan 66 years to earn the £75,000 each MP will take home under the measure.
It was not clear if Mr Kibaki would be able to block the Bill's passage a second time.
As Kenya enters the last two months before elections, the supposedly cash-strapped government – which could not raise money for teachers' salary increases – has announced a raft of new spending.

Close to £75 million will be sent to MPs before the March polls to allow them to "complete constituency projects" before they stand down, the nation's Treasury announced late last month.
The move has widely been interpreted as handing incumbent politicians a war-chest with which to fight for re-election.





Thursday, January 10, 2013

PROGRESS OF TANZANIA'S LEGEND IN MUSIC LADY JAYDEE AND GADNER G HABASH

 Lady JayDee, Justin Bayo(cameraman) and Gastor(guide) walking towards Mandara Hut
 Gadner,  na Lady Jaydee heading towards Mandara Hut


 A group photo at Mandara Hut with Kinapa Staffs
 Lady Jaydee
 Gadner G Habash




 Lady Jaydee at Zebra rocks


 From left Justin(cameraman), Lady Jaydee(center) and Gadner


 Jide Rock


 From front Gadner, Gastor(guide), Jay Dee, and Deo(guide)


 Jay Dee at caves
And here she comes an Iron Lady

Progress:
8th Jan - Mandara Hut(2700m) to Horombo Hut(3720m)
Walking hours; 5hrs
9th Jan - Acclimitization Day at Horombo Hut
Walking hours; 4hrs
10th Jan - Horombo Hut(3720m) - Kibo Hut(4703m)
Walking hours; 5hrs
Later in the day they will start heading towards Uhuru Peak(5895m) through Gillman's point(5685m)

Health
Gadner, Lady Jaydee and their cameraman Mr. Justin are in good shape, strong and able to continue till next destinations