Monday, December 31, 2012

MATUKIO AMBAYO SIWEZI YASAHAU YALIYOTOKEA MWAKA HUU........PART II

 Sister and Brothers
 Siku ya Harusi wakifanya makamuzi






 Duh...binamu na kaka haooooooo
 Mashindano yakapamba moto

 Unabishaaaaaaaa.....mshindi mimi
 heheheheheheh....kazi ipo
 Wenye swaga zao wakaingia kati

 eheeee na wewe hukubaki nyuma rafiki
 Maharusi wakainuliwa wadansi pia
 Kwakweli mliipamba sherehe vijana
 Kama mnapaa vile
 Style ya kutoka stejini
 Hapo sasa



Kwakweli na siku ya harusi pia ya Mdogo wangu Vero na mumewe Allen ilikuwa ni shangwe kwenda mbele....vijana waliserebuka kupita maelezo....nikiangalia hizi picha huwa najikuta natabasamu tu

FRIENDS PUB TWAUAGA MWAKA KWA NAMNA HII

 Utumbo tayari kwa kutengenezwa supu...
 Nyama ikiiva jikoni.
 
 Vijana wakisafisha utumbo kwa ajili ya supu...
 Nyama ikiendelea kuiva.
Kijana akigeuza nyama ndani ya jiko la kisasa, ikiwa ni maalum kwa ajili ya sherehe za kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ndani ya kiota cha maraha cha Friends Pub kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.

HEMA/KAMBI ILIYOPO MBUGA YA SERENGETI........

 Nimeambiwa anaishi Mzungu hapa....je mamlaka inafahamu hili?
 Na miti ilivyomziba kumuona inaweza kuwa shida kidogo kufahamu kama kuna mtu anaishi hapa
Na Simba wetu kajipumzikia tuuuu bila tatizo

MATUKIO AMBAYO SIWEZI YASAHAU YALIYOTOKEA MWAKA HUU........PART I

 Familia....watoto na mjukuu
 Baba, mama na mtoto
 Watoto wamejipanga kutoa show kali
 Baba, mama na watoto wakitoa show
 Family on stage
 Hapo sasa
Chezea Stima Family.....
 Tukabaki watoto 



 Steps




 Hahahahahah


 Aaaaaa akapanda Binamu yetu kutoa show matata
 Vijana mlitisha
 Mnajifunzaga wapi haya Mambo?


 hahahahahha




Hii siku ni miongoni mwa siku ambazo siwezi zisahau....Send off ya mdogo wangu.......dansing yote inasababishaga nitabasamu muda wote.....watoto mlitisha

URBAN LADIES.....TWAJIANDAAJE KUPOKEA MWAKA??????