Monday, September 10, 2012

JUMAMOSI YANGU ILIENDA HIVI

Huyo dada ni muhudumu, hayo ni maeneo ya Kibada, Kigamboni
Mida ya saa 4 asubuhi nilipita hapo nikajipatia supu kwa Buku tu (1000/-)
Chapati hiyo na chai alikula jirani yangu niliyemkuta hapo mezani
Tukafika eneo lenye VYUKU WA KIENYEJI...hahaha neno Vyuku limenikumbusha mahala

UZEMBE ULIKITHIRI NA KUTOJALI PIA


 MAWASILIANO HADI YANASABABISHA MTOTO KUANGUKA
 HADI HURUMA KWA KATOTO

PAMOJA NA MTOTO KUANGUKA...LAKINI BADO SIMU IKO SIKIONI ......HUU NI UZEMBE WA HALI YA JUU NA KUTOKUJALI KUHUSU MTOTO USALAMA WAKE


HALAFU MWISHO WA SIKU UNAANZA KULALAMIKIA SERIKALI........HII HAINIINGII AKILINI KABISA.......WADU MWAIONAJE HII

PICs OF THE DAY

JIDE NA ESTER
ME

Sunday, September 9, 2012

JUMAPILI HII NA UJUMBE HUU - NIMETUMIWA

JUMAPILI ILIYOPITA MJOMBA WANGU ALIKUWA KWENYE DALADALA AKITOKEA UBUNGO KWENDA TEGETA.BASI LILIPOFIKA MWENGE ABIRIA WALIONGEZEKA NA WENGINE WAKAWA WAMESIMAMA,KATI YA WALIOSIMAMA ALIKUWAPO MZEE MMOJA ALIYEKUWA NA HAND BAG KAMA TUNAZOBEBEA LAPTOP HIVI, YULE MZEE ALIMUOMBA MJOMBA WANGU AMSAIDIE KUMSHIKIA BAG LAKE KWA KUWA YEYE ALIKOSA SITI, BILA YA KUSITA AKAAMUA MUMSAIDIA KALE KA BAG" BAADA YA VITUO VIWILI YULE JAMAA MWENYE KA BAG; ALITEREMKA BILA MJOMBA WANGU KUMUONA NA YEYE HAKUWA NA WASIWASI KWA KUWA ALIJUA MWENYE MZIGO AKITAKA KUSHUKA ATAUCHUKUA TU MZIGO WAKE.
 
KABLA GARI HAIJAFIKA KITUO CHA TATU ILISIMAMISHWA NA WATU WALIOJITAMBULISHA KWAMBA WAO NI ASKARI POLISI WAPELELEZI KWAMBA KUNA KITU WANAPELELEZA,WAKAWAAMURU ABIRIA WOTE WATEREMKE KWENYE GARI,WALIFANYA HIVYO MMOJA WA WALE POLISI, WALIMFUATA MJOMBA WANGU NA KUMUULIZA 'NA WEWE KWENYE BAG LAKO KUNA NINI? AKAWAJIBU BAGI SIYO LANGU KWA HIYO SIWEZI JUA NDANI KUNA NINI!! WAKAMUULIZA TENA, MWENYEWE YUKO WAPI TUONESHE" AKAANGALIA KATI YA WALE ABIRIA WENZAKE HAKUMUONA.
 
WAKASEMA FUNGUA TUONE KUNA NINI NDANI, WALIPOFUNGUA WAKAKUTA KUNA SILAHA AINA YA PISTO.ALIPOJARIBU KUJITETEA WAKAMWAMBIA TWENDE KITUONI UTAENDA KUJIELEZA HUKO. BASI LIKARUHUSIWA NA YEYE WAKAMPELEKA POLISI, WAKIWA NJIA WAKAMWAMBIA KAMA ANATAKA WAMWACHIE ATOE LAKI NANE 800,000/= VINGINEVYO WATAMUUNGANISHA KATIKA KESI YA WIZI WA KUTUMIA SILAHA,AKAWAAMBIA SINA HIZO PESA NA SIWEZI KUTOA MPAKA SASA BADO YUPO NDANI.HII INATUKUMBUSHA KWAMBA NI KWELI TUNAPENDA KUWASAIDIA WATU ILA TUWE MAKINI NA MISAADA TUNAYOITOA. MZEE ALIKUWA NA NIA NJEMA KABISA YA KUTOA MSAADA ILA MSAADA UMEMGHARIMU MAISHA.
 
Mwisho napenda kuwatahadharisha watu wote tuwe makini na watu tusiowajua,

Friday, September 7, 2012

WASHIRIKI WA REDD'S MISS KINONDONI 2012 WATAMBULISHWA LEO JIJINI DAR

Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam wakati wa wakiongea na waandishi wa habari kuhusu shindano la Redd's Miss Kinondoni 2012 ambalo litafanyika Septemba 14, kwenye ukumbi wa Cassa Complex, Mikocheni, Dar es Salaam. Kulia ni Victoria Kimaro, Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, wadhamini wakuu wa Miss Kinondoni 2012.
Kulia ni Victoria Kimaro, Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, wadhamini wakuu wa Miss Kinondoni 2012 akiongea machache na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteli ya JB Belmonte, Redd's Miss Kinondoni 2012 wakati wakitambulishwa.
Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa na waaandaaji na wadhamini.
Waandishi wa habari wa Channel 10, Fredy Mwanjara aliyeshika kamera akiwa na mwenzake Saidi Kirumanga wakimfanyia mahojiano mrembo wa Redd's Miss Kinondoni 2012 Nahma Saidi.
Mwandishi wa Habari Saidi Kirumanga wakimfanyia mahojiano mrembo wa Redd's Miss Kinondoni 2012 Kudra Lupatu.
 Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi.

MAREHEMU KANUMBA BADO ANAJADILIWA

PASTOR EMMANUEL MYAMBA AFUNGKA NA KUDAI KANUMBA ALIMTONYA KUHUSU FREEMANSON...!!!

Na Jelard Lucas - Global Publishers
MSANII ‘first class’ katika kiwanda cha filamu za Kibongo, Emmanuel Myamba ameibuka na kudai kuwa marehemu Steven Kanumba enzi za uhai wake aliwahi kumtonya kuhusiana na masuala ya Freemanson.

Akifunguka kuhusu issue hiyo hivi karibuni, Pastor Myamba alisema siku hiyo Kanumba alitumia muda wake mwingi kuzungumzia masuala ya Freemanson, jambo ambalo lilimfanya abaki na maswali mengi kichwani.

“Nakumbuka sana Kanumba aliwahi kuzungumzia sana masuala ya Freemanson, alikuwa ananionyesha kwenye intaneti jinsi Freemanson wanavyofanya kazi zao lakini sikufahamu kama alikuwa na mkakati wa kujiunga nao au vipi,” alisema Myamba ambaye hivi karibuni alizindua chuo chake cha masuala ya filamu chini ya Kampuni yake ya Bornagain Film Productions.

Kanumba na Pastor Myamba walikuwa marafiki wa karibu sana na baada ya Kanumba kufariki, taarifa za kwamba alikuwa Freemasons zilizagaa sana kiasi cha kuwashangaza wengi.

Wednesday, September 5, 2012

KAZI ZA GABRIEL MOLLEL: PATA YAKO MAPEMA




WADADA NA VIPOCHI VYAO
KIMTAANI ZAIDI

KITU CHA MAKANGE YA KUKU WA KIENYEJI NA SAMAKI SATO @KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR

 SAMAKI SATO HUYO......NDANI YA VYOMBO VYA ASILI....VYUNGU
 HII ILIKUWA NI LUNCH.......MAKANGE YA KUKU NA UGALI....TULIFAIDIIIII
 UGALI LAINIIIIII......MAHARAGE, BAMIA NA MBOGA ZA MAJANI
HAPA ILIKUWA NI KIJIJI CHA MAKUMBUSHO DAR

Monday, September 3, 2012

MAMBO YA PACO DECO: URBAN FRIENDS MPOOO

 Table Setting
Main entrance!








PACO DECO by Herry Paco Naseer, the one & only in Tanzania! Mawasiliano:: +255 652 909 311

HII MNAIONGELEAJE WADAU...


ANAENDESHA GARI KABEBA MTOTO MKONONI......USALAMA U WAPI KWA MTOTO??