Monday, August 27, 2012

TUENDELEE NA UTALII KIJIJINI - PART II


Mashambani.....akipandisha kampandooo......

Akichukua kumbu kumbu
Akila pose la picha
Tabasamu kwa sana tuu
Mizunguko ikiendelea

Sunflower......
Muwe na jumatatu njemaaa....na mwanzo mwema wa wiki

Sunday, August 26, 2012

PLAY WITH NUMBERS: Your SHOEs can tell you your AGE



1. Take your shoe size.

2. Multiply it by 5.

3. Add 50.

4. Multiply by 20.

5. Add 1012.

6. Subtract the year you were born… 

The first digit is your shoe size, while the last 2 digits are your age


NB: IT IS ONLY A TRICK WITH FIGURE BUT THE ABOVE CAN NEVER WORK FOR A PERSON WHO IS MORE THAN 100 YEARS IN AGE SAY SOMEONE BORN IN 1910

NIGERIAN IMMIGRATION SERVICE BREAKS CHINESE PROSTITUTION RING IN LAGOS | ARRESTS 13 TEENAGE PROSTITUTES


The Nigeria Immigration Service (NIS) has announced the arrest and detention of 13 teenage Chinese prostitutes following a raid of their base at Emina Crescent, off Toyin Street, Ikeja, Lagos. The 13 Chinese girls were paraded in Lagos yesterday.

The NIS spokesman, Joachim Olumba, told Channels TV that the suspects were apprehended in Lagos following a tip off from an informant. He said the service received a report on the activities of some Chinese nationals who connived with some Nigerians to traffic teenage girls into the country under the pretext of offering them jobs in factories.

DC GEITA AHAMASISHA SENSA,KUUPOKEA MWENGE WA UHURU



Mangochie alieshika bomba
Na Mwandishi wetu
MKUU wa Wilaya ya Geita, Omari Manzie Mangochie amewaasa wananchi wa jimbo hilo kutoa ushirikiano kwa makarani wa sensa, iliyoanza usiku wa kuamkia leo nchini kote.
Akizungumza kwa njia ya simu , Mangochie alisema kuwa, tayari maofisa mbalimbali wa Sensa wamejipanga kutekeleza majukumu yao ndani ya Wilaya hiyo na kutaka ushirikiano wa kutosha huku akiwaasa kuachana na vitendo vya kuchanganya mambo ya siasa, dini na mambo ya msingi.
“Tunaomba ushirikiano  wa kutosha kwa wananchi wa Geita ilikuwasaidia makarani wa sensa watakaopita sehemu mbalimbali na kupata maelezo ya kila mwananchi, na pia suala hili si la siasa wala dini ni la maendeleo yetu sote” alisema Mangochie.
Mangochie pia alisema kuwa Wilaya yake inatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru ambao utazindua miradi 15, itakayogharimu kiasi cha Milioni 836.
“Tunatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru kesho  na utazunguka Wilayani  na kuzindua miradi ya 15, yenye thamani ya zaidi ya milioni 836,  hii pia utakua hamasa kwa zoezi zima la kuhamasisha sensa ya makazi na watu” alisema Mangochie.
Aidha, Mangochie aliwataka wananchi kuepuka mambo ya misuguano kutoka kwa wananchi wanaopitia njia za kisiasa kwani zitaweza kuleta chuki na baadala yake wawapuuze.
Mwenge huo unatarajiwa kuingia Mkoa huo mpya wa Geita, katika  Wilaya ya Geita ukitokea Sengerema, Ambapo utazunguka kwa siku hiyo moja na kisha kuingia kwenye Wilaya zingine mpya za Mbogwe, Nyang’wale, Bukombwe na kisha Chato.

Friday, August 24, 2012

RAILA Odinga’s SECRET meeting with PREZZO


Friday, 24th August 2012 - Kenyan rapper Prezzo just landed from Lagos where he had gone to propose to his love interest in Big brother Stargame Goldie.

The rapper landed and went straight to business. Apparently, he met up with the Prime Minister and is set to leave for Tanzania later on in the day.

Jackson Makini aka Prezzo took to his twitter account and wrote, I swear 2 God I Jst touched dwn! Meeting with the Prime Minister 10am then paint#Moshi TZ RED!!! 2nite #Thank u #Lagos.”

Prezzo is warming up to politics and it seems he is looking at ODM as his most likely party of choice. Whilst in the house, he declared that he was an ODM supporter and would love to see Raila win the 2013 elections.

PHOTO OF THE WEEK

MAMA HUYU ANAONEKANA NI MJAMZITO, KABEBA MTOTO NA ANA KUNI KICHWANI....HII PICHA NI YA JUZI HUKO MPUI - SUMBAWANGA

VIJIJI VYETU NI SEHEMU YA UTALII.....WACHECK JAMAA WALIVYOKUWA WAKITALII MAENEO YA KIANDA KIJIJI CHA MPUI SUMBAWANGA

Utalii kijijini Part I............Jan Peter, Theo Bense na Mwenzao
 Mshikaji akiwa busy maeneo ya shambani
 Pig/kitimoto anachungulia hapo kwenye tundu apate fresh air
 Watoto kama kawa wakiona/tukiona ngozi nyeupe zikiranda maeneo yetu twawatumbulia macho
Jamaa yuko speed na bag lake kama akienda kupanda mlima Kilimanjaro
Yap mdada ....whats up.......wenzako wanakuacha, chapa mwendo uwakute
 Walivutiwa pia na matanuri yetu ya kuchoma tofali.......kivutio hicho
 Kwenye makazi pia walienda
Kama kawa....camera zao huwa ziko on.......na ya kwetu ikawanasa lol
Photo credit kwa reporter wetu Veronica, shukraniiiiiiiii

WEEKEND HIYOOO: URBAN LADIES MPOOOOOOO???

KITU CHA MANGO PRINT.....MJIPIMP HAPO

Thursday, August 23, 2012

Undergraduate Direct Admission 2012/13 - UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM


Bonyeza Full Screen ili uweze kusoma majina vizuri

Selected Applicants for MSc. Finance (2012/2013)

Msc Finance 2012-13 selection