Wednesday, July 4, 2012

TOP 10 GHOST TOWNS OF AMERICA

If you’re asked to name America’s most thriving towns, chances are you won’t come up with Bodie, Cahawba or Centralia. But once upon a time, these areas were booming. Here are some photos of abandoned towns in the United States. Now they are simply ghost towns.
1. Ruby, Arizona



2. Bodie, California


3. Centralia, Pennsylvania


4. Flagstaff, Maine


5. Virginia City, Montana


6. Cahawba Alabama


7. Rhyolite, Nevada


8. Glenrio, Texas/New Mexico


9. Goldfield, Arizona


10. Gleeson, Courtland and Pearce, Arizona
Source

Tuesday, July 3, 2012

KUTOKA KWA MASANJA MKANDAMIZAJI....NIMECHEKAA

Ilitokea hivi karibuni!

Kulikua na mabosi wawili wa kampuni moja ambao walikua wanapenda sana kutoka pamoja hasa siku za mapumziko. Walikua wanawatumia madereva wao kuwapeleka kila wanapoenda.

Kama ilivo kawaida kila bosi hujuana na dereva wake au boosi kumjua vilivyo dereva wake. Siku moja, jumapili, wakiwa wametoka na kuelekea maeneo ya ufukweni walianza kuzungumza na mazungumzo yakawa hivi:

Boss 1: aisee nakuambia sijawahi ona dereva mjinga kama huyu niliyenaye!

Boss 2: aaaaah we waongea nini……….huwezi amini huyo dereva niliyenaye yaani hamnazo kabisa.

Wakaendelea kubishana kila mmoja akisema dereva wake ni mjinga zaidi ndipo ikabidi wathibitishe kwa kila mmoja kuonyesha ujinga wa dereva wake.

Boss 1 akamuita dereva wake.

Boss 1: eeeeh chukua hii elfu 20 nenda kaninunulie FLAT TV inch 50 dukani!

Dereva: sawa boss, vp niilete huku au nipeleke nyumbani?

Boss 1: ukiweza kununua ilete hapa.

Dereva akaondoka, boss 1 akasema: waona alivo mjinga yaani hata hajui kua kwa shilingi elfu 20 huwezi kupata FLAT TV INCH 50.

Wakacheka, Boss 2 akasema sasa ngoja umuone dereva wangu alivyo mjinga.

Boss 2: hebu nenda nyumbani kaniangalie kama nipo!

Dereva: sawa bosi

Dereva akaondoka, Boss 2: waona alivyo mjinga, mimi nipo hapa alafu ataenda nyumbani kuniangalia kama nipo

Wakacheka na kusema kweli huyu mjinga.

Upande wa pili wale madereva wakakutana na kuanza kuongea.

Dereva 1: huwezi amini sijawahi fanya kazi na Boss mjinga kama huyu.

Dereva 2: bora wewe mi wangu ni punguani kabisa hata sijui kapata wapi ubosi.

Dereva 1: sasa sikia kaniita sahivi ananiambia niende nikamnunulie FLAT TV inch 50, wakati anajua fika kabisa kua leo ni jumapili na jioni hii hakuna duka lililowazi kama sio ujinga ni nini??

Wakacheka!
Dereva 2: hahaha aisee ila hata hivyo hafikii kwa upunguani wa bosi wangu, eti kaniita pale ananiambia niende nyumbani kwake nikamuangalie kama yupo, ilhali anasimu pale angeweza tu kupiga kwa mkewe nyumbani amuulize kama yupo au lah na sio kunisumbua mimi mpaka niende kwake naharibu mafuta tu...!!

Wakabaki wakicheka kila mmoja kuendelea na alichotumwa!

Je nani mjinga???? Mabosi au dereva??

OLD IS GOLD

 1951
2012
Kitu cha lesi lesi kipo hewani

JUMAMOSI ILIYOPITA TULIPATA NAFASI YA KWENDA KUMTEMBELEA MWANA LAFIMILIA MWENZETU MELISSA

 Hindu Mandal Hospital
 Tukielekea wodini
 Tukikapokea katoto na kukasalimia
 Wa kati kati ni Melissa alijifungua mtoto wa kiume, na tukaenda kumpa Hongera, akiwa na Jack na Cute Cmile
 Gift karibu duniani
 Akitoa yake machache 
 Akikabidhiwa tulichompelekea
 Tukiwa naye na picha ya pamoja
 Mama Gift akiwa na Furaha tele
 Tukiwa tunaoka hospital
Kumbu kumbu ya Picha ya pamoja

KAZI YA MIKONO - BAGAMOYO

Nilijitwalia hizi
Kazi ya mikono


Wacheza Bao mpooo

Watoto wanapenda sana...pia ni urembo kwa nyumbani
Glass za Wine na vinu....asili yake Tanzania....Mpingo huo
Inapendeza
Bangili
Vinyagooo
Walinunua kuwapelekea warembo wao...
Wallet za mikeka
Ubunifu huo jamani

WHY TOM CRUISE IS LOOKING LIKE A LOOSE CANNON TO THE SCIENTOLOGISTS

His superstar status gave Scientology invaluable influence in Hollywood, but with a nasty-looking divorce looming, is Tom Cruise now a liability to the controversial Church? 

In an age of Gawker, YouTube and hundreds of anti-cult blogs, all of Hubbard’s revelations – plus allegations of serious financial mismanagement by rogue Scientologists – are available to any would-be recruit with access to the internet Photo: Rex Features 

Monday, July 2, 2012

Jamii Ya Wahadzabe - Singida

 Mhadzabe Bw. Maidona Wazaeli akiwa mbele ya nyumba yake.


Jengo moja lenye vyumba viwili vya madarasa ambalo halijakamilika kwa ajili ya wanafunzi wa chekechea, lililojengwa na kanisa la KKKT Dayosisi ya kati kwa gharama ya Sh.Milioni 25/=

Unapenda kujua ni watu wa aina gani?? Tembelea Singidayetu Blog

WANAFUNZI WAKIPATA MSOSI



Young boys at Watoto Orphanage, Chivhu, queue for food after a hard day's work at school. Photo by Shepherd Tozvireva

Sunday, July 1, 2012

Simple Fish Pie

Simple Fish Pie Recipe at MyDish

Ingredients

  • 350g smoked haddock or cod
  • 300ml Creme Fraiche
  • bunch flat leaf parsley
  • some Potatoes for mashing
  • big knob Butter
  • glug milk
  • YOU CAN ALSO ADD
  • sprinking of crayfish tails or prawns
  • touch of salmon
  • dash of cheese
  • or anything else you fancy

Method

  • Its simple, preheat the overn to gas mark 6/200c

    Make the mash how you like it, I like mine buttery with not too much milk, make sure its well seasoned though!

    Mix the fish, creme fraiche and parsley together (and any other ingredients you like)You can add vegetables like peas or baby corn.

    Put into an ovenproof dish with mash on top then plonk in the oven for 30-40 mins

    Enjoy.

Tips

  • Works well with half smoked fish and half unsmoked, i love a few crayfish tails in there too!

    As an optional extra you can grate cheese and sprinkle on top of the mash with a little sprinkle of ground nutmeg
  •  
  • This is the easiest fish pie recipe ever, and tasty, its the dish i make when i have had a long day at work and want to see my lady shape duffy, more than the kitchen
  • By 

GHOROFA LILIOPO KATI YA KARIAKOO LIVING STONE JIJINI DARESALAAM LINAWAKA MOTO!

Jengo la Ghorofa lililopo mitaa yaKariakoo na Livingstone, jijini Dar es Salaam, likiwa limeshika moto leo mchana kutokana na sababu ambazo hazijajulikana mara moja. Chumba kimoja kilichokuwa na chupa kibao za manukato kimeteketea.  
SOURE UJANATZ BLOG