Tuesday, June 19, 2012

WATOTO WAKISEREREKA.......ULISHAWAHI KUJARIBU HII???

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nakumbuka kila siku ukirudi nyumbani utafikiri umemwagiwa vumbi na sketi na magauni yalikuwa yanaisha kweli hasa kwenye makalio....Pia nimewahi kufanya hivyo na wanangu ila kwenye theluji..

Interestedtips said...

hiyo ya kwenye barafu sijawahi i wish nijaribbu, lakini vichuguuni, duh ni balaaa yaani nguo kuchznika vumbi sasa na kuunguza mboga, balaa

Yasinta Ngonyani said...

hahahaaa hahaha mweh! umenikumbusha kuunguza mboga siku moja niliunguza maharagwe halafu nikabadili chungu unafikiri mama hakujua du siku ile naikumbuka kweli...kisa mdako/lede na mterezo...

Interestedtips said...

kusema ukweli, mimi nilishawahi unguza nyama mara tatu nikawa nabadilisha tu sufuria kwa mara tatu, zilibaki finyango chache kweli kwenye sufuria,halafu mchuzi mweusi, no radha.... mpaka leo bado nina kumbuka maumivu ya vile viboko vya baba

Yasinta Ngonyani said...

duh! pole sana maana mie nalivyokuwa naogopa viboko ...