Nakumbuka kila siku ukirudi nyumbani utafikiri umemwagiwa vumbi na sketi na magauni yalikuwa yanaisha kweli hasa kwenye makalio....Pia nimewahi kufanya hivyo na wanangu ila kwenye theluji..
hahahaaa hahaha mweh! umenikumbusha kuunguza mboga siku moja niliunguza maharagwe halafu nikabadili chungu unafikiri mama hakujua du siku ile naikumbuka kweli...kisa mdako/lede na mterezo...
kusema ukweli, mimi nilishawahi unguza nyama mara tatu nikawa nabadilisha tu sufuria kwa mara tatu, zilibaki finyango chache kweli kwenye sufuria,halafu mchuzi mweusi, no radha.... mpaka leo bado nina kumbuka maumivu ya vile viboko vya baba
Nakumbuka kila siku ukirudi nyumbani utafikiri umemwagiwa vumbi na sketi na magauni yalikuwa yanaisha kweli hasa kwenye makalio....Pia nimewahi kufanya hivyo na wanangu ila kwenye theluji..
ReplyDeletehiyo ya kwenye barafu sijawahi i wish nijaribbu, lakini vichuguuni, duh ni balaaa yaani nguo kuchznika vumbi sasa na kuunguza mboga, balaa
ReplyDeletehahahaaa hahaha mweh! umenikumbusha kuunguza mboga siku moja niliunguza maharagwe halafu nikabadili chungu unafikiri mama hakujua du siku ile naikumbuka kweli...kisa mdako/lede na mterezo...
ReplyDeletekusema ukweli, mimi nilishawahi unguza nyama mara tatu nikawa nabadilisha tu sufuria kwa mara tatu, zilibaki finyango chache kweli kwenye sufuria,halafu mchuzi mweusi, no radha.... mpaka leo bado nina kumbuka maumivu ya vile viboko vya baba
ReplyDeleteduh! pole sana maana mie nalivyokuwa naogopa viboko ...
ReplyDelete