Hapa ndo ninapoishi...hapa ni Makurunge-Bagamoyo.....mkazi wa hapa akielezea...nilipajenga mwenyeweeeeee
Na hapa ni Bafu/Maliwato
Pia kilimo cha pili pili Mbuzi kama hivi..miwa kidogo...na mapapai pia
Zimestawi sana, karibuni mnunue
Oxygen ya nguvu...hakuna kunyang'anyana hewa...wageni wakija nazunguka nao huku nikiulizwa maswali mawili ...matatu
Pia Jongoo kama hivi hawakosekani.....wanasaidia kufanya udongo uwe active...hahahahhaha
5 comments:
Esta nimeshtuka kuona huyo jongoo yani mwili wote umenisisimka naogopa huyo mdudu balaa
mmmhh taswira nzuri kweli nimependa hasa hizo pilipili ningependa ziwe bustanini kwangu.
Yasinta hizo pili pili zilikuwa zinakufaa wewe kabisaaaaaa
Majoy jongoo hang'ati, usimuogope
yaani ni kweli kabisa ila nikipanda sasa itabidi nizingóe na kuweka kwenye makopo na kuweka ndani BARIDI:-(
KUMBEE....ITABIDI TU SASA
Post a Comment