Wapenzi wetu wa Blog ya Rural & Urban.......napenda kuwapongeza sana kwa kuunza mwaka mpya 2013.......Si kwamba sisi ni wema sana kwa Mungu na anatupendelea.....yote hiyo ni mipango yake yeye Muumba......Leo hii alfajiri tumempoteza Sajuki....alijitahidi sana kupigania afya yake na walijitokeza wengi kumsaidia...lakini kwa Mapenzi ya Mungu amemuita kwake ikiwa ndo tumeuona mwaka....wapo wengi hawakuweza kuuona mwaka huu na waliouona kidogo Mungu akawaita.....Mungu azilaze roho za marehemu wote Peponi......Amen